Makapuku Forum

Kweli kabisa,
Mwanzoni kabisa wakati forum inaanza niliwahi kusema kuwa couple nnayoielewa hapa ya Th Name na lizziebettie ila watu hawakunielewa nadhani watanielewa polepole

Na kwasasa couple nyingine nnayoielewa ni ya manuu na amaizing
Nashukuru Dada kwa kuliona hili. Huyu youngblood anafikiri lizziebettie nilimpata humu.

Kingine majungu tu yamemjaa sana. Atasubiri sana kwa maombi yake ya hovyo. Pia manuu na amaizing naikubali maana nilijitahidi kuwaunganisha mpaka mambo yakawa sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…