Food For Thought....Goodmorning My Everything..LEO NAKUKUMBUSHA USIKATE TAMAAA ??
HEBU JIANGALIE KWENYE KIOO
unaona nini ?? Yamkini utajibu wajiona wewe
KUMBUKA
Mungu amekuumba na kitu maalumu cha kuigusa dunia
Umri unavyoenda ndivyo deni lako la kugusa dunia linaongezeka
JE USHAJIULIZA JAMII NA DUNIA WANAHITAJI.NINI TOKA KWAKO ??
SASA MBONA UNAKATA TAMAA KIRAHISI UNAPOPAMBANA NA MAGUMU
WAJUA UNAPONA MAGUMU MENG NDIPO MAFANIKIO YAKO YAKO KARIBU ??
UNAPOACHA MAANA YAKE HUMWAMINI MUNGU NA KWAMBA MUNGU ALIFANYA KOSA KUKUAMINI KUKUPA HILO JAMBO !!JE KWELI !!!
LEO AMUA KUTOKATA TAMAA NA WEWE NI MSHINDI ,USIBABAISHWE NA MTU YEYOTE ,UKISHINDWA NA KUISHIWA NGUVU MTAZAME MUNGU
PANGA WIKII HII VEMA HUJACHELEWA
NAKUPENDA NAKUTAKIA ASBH NJEMA
ANZA NA MUNGU
ENDELELEA NA MUNGU ,
WEKA BIDII
KAZANA TENA
USHINDI NI WAKO
Poa poaNiko poa pia mkuu
Npo ndugu yangu na issues ziko poa sanaaUpo bibie? Ishu zinaendaje?
Mkuu jambilo salam zangu zikufikie[emoji106]
Heshima yako paroko[emoji106]
Morning honey,Food For Thought....Goodmorning My Everything..
[emoji115] [emoji115] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Am OK
Small Boss
.......,.....
Nafurahi kusikia hivyo, mi niko poa kabisaNpo ndugu yangu na issues ziko poa sanaa
Habar ya wewe?
Asante wifi..... Good day to you tooMorning my
Good day
Love you more my dear..Stay Blessed.Morning honey,
Have a marvelous day
Love yu[emoji179] [emoji7] [emoji8]
Asante. Na iwe njema kwako piaNawatakia asubuhi njema wapendwa.
Asante.Asante. Na iwe njema kwako pia
Shukrani, na we uwe na siku njema piaNawatakia asubuhi njema wapendwa.
Iwe hivyo na kwako pia Shemeji..Nawatakia asubuhi njema wapendwa.
Asante brother.Shukrani, na we uwe na siku njema pia
Asante shemeji.Iwe hivyo na kwako pia Shemeji..
Amen!Asante brother.
Mungu akutangulie katika shughuli zako za leo.
Asubuhi njema shemNawatakia asubuhi njema wapendwa.
Jimena umeamka salama my sister!Asante wifi..... Good day to you too