Makapuku Forum

Leo katika je wajua nami nakujuza zaidi nitaileta tofauti sio kwa mfumo wa kupost picha picha kama tulivyozoea



1/ je wamjua mbwa kudogo kuliko wote ulimwenguni??




Anajulikana kama Milly ni mbwa mwenye urefu sawa na kiatu cha mchuchumio chenye urefu wa 9.65 cm, mmiliki wa mbwa huyu anajuliiana kwa jina Vanessa Samler anayepatikana huko Puerto, Rico.

Jina kamili la mbwa huyu anajulikana kama Miracle Milly alizaliwa 1 December 2011 na kuingia rasmi kwenye record za kidunia ( Guinness World Records 12 February 2013)

Madame S
 
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vyema kabisa..... Nawakaribisha kwenye leo katika historia na italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini murua wa Ximena's red wine ambayo inapatikana kwa ladha mbili sweet na dry
 
Asantee
 
Leo katika Historia

1958 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Madonna.
Mwimbaji mashuhuri wa muziki toka nchini Marekani.
Nikiwa kama shabiki hai wa Madonna ntacheza ngoma zake kama tatu hivi.. Ambazo nazikubali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…