Makapuku Forum

Pesa ndio kila kitu.. wee hangaika na viuno wee, six packs za kutosha ila ujue kuna kibonge mmoja nynya tena mzembe tu anakuibia..

Ukitaka kuishi kwa raha na aman hapa mjin.. uwe na pesa na mbuno ujue kukata, pesa unampa na mbuno unampa..[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Ananiangushia jumba bovu huyu
 
Msiwasifie mabonge nyanya
Hakuna uhusiano wowote kati ya pesa na unene
Wengine wamejaza minyoo tu
Vitambi ni dalili ya mtu mzembe mzembe na mvivu
Vitambi ndio ufunguo wa geti la maradhi

Tubadilike
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…