Makapuku Forum

Shemela, acha tu kitu inaitwa kupenda
 
Nipo lushoto mjini,nitakutumia shemela wangu
Ebana eeh vipi baridi huko?
Wasalimie Dochi na Sinza
Hivi barabara ya mjini from IJA washapiga lami upya na kuitanua?
Au basi/daladala zinaishia bado bado pale shuleni/uwanjani Shambalai?

Usishau kutuletea matunda damu sado zima buku mbili haivuki km sijakosea
......
 
100%

Huko kwingine kujilegeza, eti mtu ukipenda ndio kapenda yeye nani wa kpenda tu hata km anakukera mama yako mzaz au.. km tungekuwa tumezaliwa pamoja labda ningefkiria sababu tumeanza kuwa pa1 tumbon, lakin haya ya kukutana dunian tu ndio jnipe presa tena hii dunia yenye watu bilion 7 na upuuz, akwende tuu, sikuanza na yeye n pia hawez kuwa wa mwisho..

Kwa wanyonge hali kama hii ni kujipa maneno ya kishujaa, unajichanganya na watu.. ila ukiwa pekee yako pekee yamo unaweza kufa km hujazoea, ndio hawa unakuta kaishaachana na mtu bado anamfata fata, hyo inaonesha unamzikia bado n yeye ndio anapata nafas ya kukuumiza zaid

sent using my nokia ya tochi
 
Mara nyingine mtu anaamua kuendelea kuishi nae ili aone kama atabadilika maana yake anamvumilia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…