6/
Stephen King
Alizaliwa Septemba 21 mwaka 1947
Huyu jamaa alijikita kuonesha migogoro ya kitabaka na utamaduni tangu akiwa bwana mdogo
Ni mwandishi mzuri wa vitabu
Kitabu chake cha
The Rest Stop ndio kilichobamba zaidi maana alipangilia mambo vizuri kuanzia wahusika hadi stori nzima
Ila pia kuna:
It
The Shining
Carrie
The Stand
..................................
Zitaendelea baadaye