10/
Danielle Steel
Alizaliwa Agosti 14 mnamo mwaka 1947
Ni mtoto wa baba Mjerumani mwenye asili ya Kiyahudi na mama Mreno
Alikuwa ni mtoto wa pekee na kulelewa huko Ufaransa
Alipiga msuli ngazi ya Shahada katika
New York University hovyo ni msomi anayejua akifanyacho
Ni mkali wa vitabu vya mapenzi & mahusiano
Kitatu chake cha
The Long Road Home kilichokuwa kikielezea manyanyaso ya msichana mmoja nyumbani kwao ndo kilichobamba zaidi duniani na kumtambulisha
Ameuza vitabu zaidi ya nusu bilioni yaani 500,000,000+
..........