Morning dumejeuriZa asbh makapuku wenzangu,namshukuru mola kutuamsha salama atujaalie rizki kadri ya mipango yk,kaka Obe tafadhal ujapo nibariki na wimbo "NAMSAKA MBAYA WANGU" maalum kwa hisani ya binam yng Shululu [emoji120]
Mme mwee za uzimaKaribu
hahahhahaha nisamehe bure kwa kweli hope mmeamka salamaJiko langu la mkaa lipo stoo nilishasongea ugali bado la moto
Nikilileta chumbani nyumba si itaungua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Kumekucha salama sifa kwa alie juuMorning all kapuku