Makapuku Forum

10/Zhongyuan Tower
Unapatikana Zhengzhou katika jimbo la Henan nchini China
Unaaminika kuwa ndio mnara mrefu zaidi duniani uliotegenezwa jwa vyuma.....ikumukwe hata Elfelt tower huko Paris umetengenezwa kwa vyuma na ndo chanzo cha jamaa fkani hivi kuwatapeli wafanyabiashara wakubwa kwa kuwadanganya kuwauzia ili wapate vyuma
Sasa tuendelee.....mnara huu ujenzi wake ulikamilika mwaka 2011 na ndo ukawa mnara mrefu zaidi wa chuma hadi pale mwingine ulipojengwa Tokyo Japan
Mnara huu una migahara takribani 200 ya kuhudumia wageni/watalii
Hutumika pia kurushia matangazo ya luninga

Una urefu wa futi 1,273
.........
 
9/China Central Radio & TV Tower
Zamani wakati TBC ya bongo ikiitwa TVT wenyewe ulijulikana kama CCTV Tower kisha baadaye kidogo ukaitwa Beijing Tv Tower
Ndio mnara mrefu zaidi jijini Beijingyaani ukipanda juu unajioneea jiji vizuri kabisa bila kwere
Ulianza kujengwa mwaka 1987 na ujenzi kukamilika mnamo mwaka 1992
Huu ni mnara maaumu kwa ahili ya mawasiliano na kurushia matangazo ya luninga na Radio nchiniChina

Una urefu wa futi 1,329
.......
 

Twende nyangema
 
Twende kazi Bitoz nyangema
 

Nashukuru sana madam Sakayo
I do my best for you and all
 
8/Tianjin Radio & Television Tower
Wachina bhana wanaendelea kutamba tu kama kawaida yao labda kweye list y watu wenye macho makubwa tu ndo hawatakuwepo !!! Jamaa wanakaribia kuiebdesha dunia
Huunimnara mwingine wa mawasiliana(kurushia matangazo) ya luninga na Radio huko nchini China
Umehengwa mwaka 1991 huko Teinjin na kuliangaza jiji zima
Ujenzi wako uligharimu USD 45 Milion
Theluthi mbili ya mnara ni observation pod ambayo inaukubwawa mita za mraba 253

Una urefu wa futi 1,362
.......
 
Asante
 
Aisee
 
7/Kuala Lumpur Tower
Unapatikana jijini Kuala Lumpur nchini Malaysia pia ukisema Malaya hujakosea ila kwao sio tusi
Ulijengwa na kukamilika mwezi Machi mwaka 1995
Kileleni kuna antena ya kunasia/kurushia matangazo na kuufabya kuwa na urefu wa mita 421
Una lifti/ngazi(ekevator) ya kumwezesha myu kufika adi juu kwa urahisi kabisa
Ndio mnara mrefu zaidi Kusini mwa bara la Asia

Una urefu wa futi 1,381
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…