Johnsonj mkubwa ni yupi hapo binamu
Amerudi tayariNgoja tumpe muda
Usivisahau hivyo vitukuu vyangu jjZnantosha babu
SawaUsivisahau hivyo vitukuu vyangu jj
Nipo mie za kwako sakayo alikuepo ameshalala tupo huku ndio nyumbani kwetu ndio tunapopatikana
HaijaendeleaEti shem hadithi ilishaendelea
Ningekuwa najua wala nisingeulizaMbona Shunie unanitia aibu... Yaaani hujui umri wa babu yako kweli?
Kupatwa kwa binamu,cjui kalishwa nn na muha hyu
Ndio yupi hapo kwa avatar mke mweeJohnson
Shangazi tafadhali nina muamshe huyo binamu yanguNipo mie za kwako sakayo alikuepo ameshalala tupo huku ndio nyumbani kwetu ndio tunapopatikana
Kesho akija utamuona akilala haamki
Umri wa jf au wa kikweli?Ningekuwa najua wala nisingeuliza
Pole sanaLeo nilibanwa na pilikapilika hadi ikawa soo
Ila ngoja niwatupie Vimbwanga vya Chaplin
Zen
Niwatakie Usiku Mwema
.....
Kwani huo ubabu unaousema kumbe ni uongo aisee usiku mwema babuUmri wa jf au wa kikweli?
Na wewe pia Mjukuu wangu mpendwaMbingu ni mali yako nchi nayo ni mali yak, ulimwemgu na vyote viujazavyo ndiwe uliyeuoiga msingi wake
Kaskazini na kusini ndiwe uliyeziumba, tabori na hermoni hulifurahia jina lako
ZABURI:89:11:12
Muwe na usiku mwema
Nakupenda sana , umenigusa sana , sijui we ni mwanamke wa aina gani, i can make imaginations, ur such very smart & God mfearing woman. Thanks for script, be blessed, ur real friendMbingu ni mali yako nchi nayo ni mali yak, ulimwemgu na vyote viujazavyo ndiwe uliyeuoiga msingi wake
Kaskazini na kusini ndiwe uliyeziumba, tabori na hermoni hulifurahia jina lako
ZABURI:89:11:12
Muwe na usiku mwema
Niaje NyageiUna uhakika madam