Makapuku Forum

Leo katika Historia


1947 - Rais wa Marekani anasaini muswada wa kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi nchini humo ( CIA ) pamoja na United States Airforce pamoja na idara ya Ulinzi.

Yote hii ni kutokana na tishio la vita baridi toka Urusi.
Kumbe huo mwaka 47 ulikuwa na mambo mengi ndio maana tulikuta msemo wa mambo ya mwaka 47

BTW ulinzi ni muhimu
 
Leo katika Historia

1949 - Thaksin Shinawatra anazaliwa.
Ni waziri mkuu wa zamani wa Thailand na aliyekuwa mmiliki wa klabu ya Man City.

Leo katika Historia

1953 - Felix Magath anazaliwa.
Ni kocha wa mpira wa miguu toka Ujerumani.

Leo katika Historia

1957 - Yuen Biao anazaliwa.
Ni msanii wa movie za mapigano toka Hongkong.

Leo katika Historia

1967 - Jason Statham anazaliwa.
Ni msanii wa movie mashuhuri toka nchini Marekani.

Leo katika Historia

1985 - Gael Clichy anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu klabu ya Man City na Ufaransa.

Leo katika Historia

1986 - Leonardo Ulloa anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka Leicester city.
Happy birthday to all
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…