Ubusy tu wa wikiendi mkuu..... Bata kidogoJimena ulipotea kidogo
Eeh wanasema eti wa makaburini ndio kiboko baada ya ule wa njia pandaKwani ndo huwa wanaenda kuchawia makaburini?
Haya shemeji yangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] subiri shem, nitakuwekea
Miss you more.... Kikubwa nimerudi tu.Hata mie nimekumiss mbaya, ulikuwa wapi jamani?
Habari ya wafanyakazi day jimenaPoa tu, mambo vipi?
Hahahaaa... Mie sio mbeya ataa!Yes ila usimwambie[emoji85]
Arsenal vip?Leicester, yanga, na atletico madrid ni faraja tu mkuu
Haa..! [emoji15] [emoji15]
Aisee
Dunia imekwisha.Haa..! [emoji15] [emoji15]
Karibu Man UtdSijui hata nishabikie timu gani, maana duh!
[emoji134] [emoji134]
Kabisa, naamini kweli tupo katika siku za mwisho.Dunia imekwisha.
Asante braza.Karibu Man Utd
Ukipata toto au ndugu wa karibu wa hivi ni bora kumpa sumu tu[emoji37]Dunia imekwisha.
Dunia sio mbaya ika binadamu ndio wabaya...Dunia imekwisha.
Hahahaaa.... ni bora kabisa.Ukipata toto au ndugu wa karibu wa hivi ni bora kumpa sumu tu[emoji37]