Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nilikua sijui jina unaloitwa na bitoz aisee bitoz usitufanyie hivyo tuite majina yetu jaman

binamu hii nyimbo mapenzi kitu gani umemuwekea mpendwa wako husna
 
Simu ndo hubadilisha maneno automatically sasa nisipoyapitia nakuta kosa tayari
Mfano Obe "b" imebadilishwa na kusomeka One
Shunie 'n" imebadilishwa na kuwa Shumie
Sio kwamba napenda kuyaharibu majina yenu
.....
 
Hutokea mara nyingi sana ukitumia simu, hata kwangu ni hivyo hivyo na huwa najitahidi kwenye majina maana ukikosea jina unaweza kutofikisha ujumbe sawasawa.
Pamoja sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nilikua sijui jina unaloitwa na bitoz aisee bitoz usitufanyie hivyo tuite majina yetu jaman

binamu hii nyimbo mapenzi kitu gani umemuwekea mpendwa wako husna

Lol! Yaani hujasoma title ukabaki kusikiliza tu nyimbo!!! Nimesema jmosi hii tucheze tu na sio masuala ya ujumbe.
Husna nishamuimbia sana tu na sasa hivi anaandaa smooth (sharubati) ya kiwi-lime, strawberry, coconut , na painapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…