Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Wazungu wanapenda kucheza hatari sana2/Bull ridingMchezo huu wa kucheza na ng'ombe dume ni hatari
Hawa ni ng'ombe walioshiba wa miraba mine sio wale njaanjaa wa Chato na Kolomije
Ilitokea ajali mfano ya kukanyagwa unaweza kujikuta unajinyea kabisa,kuvunjika mbavu pamoja na kupasuka kiungo vya ndani
Wengi hufia hospitali wakipatiwa matibabu
Pia kipindi kingine ng'ombe hupandisha kichaa na kuanza kujeruhi mashabiki
........ :......
Okay, good to hear
post using my macbook air using jamiiforums app
Because inalipaWazungu wanapenda kucheza hatari sana
Doh! Wako tayari kuhatalisha maisha yao kwajili ya pesaBecause inalipa
Ila wengine ni hobby tu
.....
Apo kwenye hobby ndo penyewe ...make ata mm mchezo wa pikipiki naupenda sana ...enzi hizo kawe nilikuwa natimua vumbi haswa sema kitambi now kinaninyima raha ...ila mara moja uku porini nalianzishaa ngedere wanashangaaBecause inalipa
Ila wengine ni hobby tu
.....
Nzuriiii
Apo kwenye hobby ndo penyewe ...make ata mm mchezo wa pikipiki naupenda sana ...enzi hizo kawe nilikuwa natimua vumbi haswa sema kitambi now kinaninyima raha ...ila mara moja uku porini nalianzishaa ngedere wanashangaa
Ya bitoz hiyooooNzuriiii
Duuu1/Horseback Riding
Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na farasi I,kuangukia kichwa n.k
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
........
.usichekeeee shemu nikiwashaa okazaki yangu mbona mangedere wanaenjoy show....
Assnte mdauuu ....1/Horseback Riding
Unaujua uzito wa farasi aliyeshiba?
Huu mchezo ukiuangalia unaweza kuuchukulia poa lakini nenda kajaribu kuucheza
Mara nyingi ajali zake zina risk kubwa mfano kukanyagwa na farasi I,kuangukia kichwa n.k
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Waacha weee ila angalia usije kuparamia miti.usichekeeee shemu nikiwashaa okazaki yangu mbona mangedere wanaenjoy show....
Assnte mdauuu ....