Makapuku Forum

Hili andiko nimelisevu
Ahsante mdau kuna kitu nilikuwa sijawahi kukijua
......
 
Sema "star" wa Makapuku. Mambo? Ile mtu ya Koromije isipokuwepo kwenye thread yako hii unafurahi sana ama? Kabla hujaisema si angalau uiite basi kama una ubavu? Binadamu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Unazingua" mkuu kama hujisikii kuingia huku potezea make siku hizi huwa unaingia tu kama ukijihisi umetajwa ...kapuku ni wamoja kama uliona hapakufai bhasi sio lazima kuingia ...
 
Why this jamani,Hv ndio hali ipo hv daah so sad aisee

Cc @Nyagei
Hakuna lolote kipya wala la ajabu mazungumzo yangu na Mndali ni ya koutani tu na ndo yalikuwa hivyo km unavyojua samtaimu watu tunataniana tu
Hata hapo niliposema Wasukuma au ile mutu haipo na kuweka emoji ni kuonesha tu natania
Usiwaze sana mdau
Potezea
.........
 
Mdau fafanua kifupi tu [i


Down syndrome nayo ni miongoni mwa genetic disorder ambayo inshort ni ya kurithi. ..hii ni mojawapo ambayo wengi wanaiterm kana Abnormality kwa binadamu hii ni kwa sababu kama tunavojua chromosome ndo carrier wa genetic materials na zipo za aina nyingi chromosome ambazo zimepewa namba na kila moja ina umuhimu wako ...kwenye kupitia kwangu nilipitia mpaka chromosome ya 44 ...

Ila chromosome ambayo inasababisha hii hali ni chromosome namba 21 ...na hii inatokea endapo kunatokea exta additional of genes kwenye hii chromosome ...hali inayosababisha kuongezeka kwa characteristics za ziada kwenye mwili wa binadamu
Hawa watu ni rahisi kuwagundua ...japo wengine kiukweli mwanzoni maisha yao yalikuwa mafupi ila kutokana na technology hasa upande wa genetic siku hizi wanaishi kwa miaka mingi kidogo...

Hawa watu sifa mojawapo ni kuwa na uwezo mdogo wa kung'amua vitu ila sio mburula japo wengine wanawaterm kama intellectual disability/cognitive delay n.k...

Hapa mtoto akiwa na hali hii kuongea inawachukua mda sana ...wengine tunakimbilia kwa waganga tukidhani wamelogwaa...

Ila na uso kimwonekano unakuwa tofauti na binadamu wa kawaida
 
Potezea ...inshort heshima uliyojiwekea hapa kapuku ulijishushia wewe mwenyewe ...
Heshima? Makapuku? Nilijishushia? Mimi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Makubwa kwa sababu madogo yana nafuu kwa kweli.

Anyway, ni uzi wenu. Lakini mkianza mambo yenu ya ubaguzi na kujiona bora na "ustaa" wenu huu usiokuwa na kichwa wala miguu nitakuja tu. We na bosi wako wabaguzi wakubwa halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia eti utani. Mtu sijaja kujibishana na mtu hapa miezi leo hii mtu anashambulia kabila halafu anasema kabisa "afadhali lile limtu halipo" halafu eti anasingizia ni utani. Utani my foot!
 
"Unazingua" mkuu kama hujisikii kuingia huku potezea make siku hizi huwa unaingia tu kama ukijihisi umetajwa ...kapuku ni wamoja kama uliona hapakufai bhasi sio lazima kuingia ...
Nimekuelewa sana "star". Msiponitaja kwenye huu ubaguzi wenu hutaniona huku. Hata nikikosea nikaonekana just ignore me. It's that simple [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubaguzi unajibagua mwenyewe hamna mwenye huo mda hapa kila mtu anaheshimu mwenzake ila ikitokea hujajiheshimu hakuna atakaye kuheshimu ...

Huu uzi sio wa mtu au mmoja ila ukikosea kubari kukosolewa ....inshort wewe utani huwezi na ukilazimisha kutania , ukitaniwa unaona kama umekosewaa ...

ni taarifa wala sio malumbano ...ila hakuna anayekulazimisha kuwepo huku au kutokuwepo
 
Nimekuelewa sana "star". Msiponitaja kwenye huu ubaguzi wenu hutaniona huku. Hata nikikosea nikaonekana just ignore me. It's that simple [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tutakuignore kweli kwa sababu hamna mtu mwenye mda wa kubembelezana ...ukijiona star watafute star wenzako
 
Shukrani mkuu kwa dondoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…