Makapuku Forum

I see,kwahiyo huwa hawana relationships,ni kama tape worm
Mam mchungaji ukisema hawana nahisi kitaalamu utakuwa nje kidogo ...mode yao ya reproduction iko hivo na wanategemeanaa ....

Ni tofauti na tape worm mama mchuchu make nakumbuka vizuri tapeworm wenyewe ni haemophrodite nikimanisha hawahitaji mwenzake kufanya reproduction. ..ila kuna uwezekano pia wa kufanya reproduction kati ya tapeworm wawili ikatokea ...nikimanisha dume na jike....

Ile ya self ni matokeo ya ukweli zile segment kila ka segment kana sex zote mbili yaani ya kike na kiume ...
 
Uwiii!ASANTE...SIJAWAHI KUGONGA HII..HUYU NI MUNGU..UJUMBE HUO NI UFUNUO TUUFANYIE KAZI..MLANGO UKO WAZI MUNGU AMEFUNGUA...ASANTE MKUU SHULULU...NAKIPENDA KITABU CHA UFUNUO KINATUONESHA MAISHA YETU HALISI..MBARIKIWE
Ni kweli mama mchungaji, ufunuo ina ujumbe ambao kuuelewa inahitaji tafakari ya hali ya juu sana, nyakati hizi tulizonazo ni utabiri wa ufunuo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…