Makapuku Forum

Na mengine kama......

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa asema jaribio la Korea Kaskazini kuzindua makombora ya masafa marefu inawakilisha wingu la mzozo duniani.

Viongozi katika eneo la Mandera nchini Kenya wavituhumu vyombo vya usalama kwa mauaji ya wakazi wa eneo hilo.

Rais wa Rwanda Paul Kagame aushutumu Umoja wa Ulaya kujiingiza katika masuala yanayohusu uchaguzi wa nchi hiyo.

Na kaburi la Mtunzi wa Wimbo wa Taifa wa Uganda lafukuliwa na watu wasio julikana, kukiwa na wasiwasi mabaki ya mwili wake yameiubiwa. ikiwa ni miaka mitano toka kuzikwa kwake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…