Makapuku Forum

Mmmmmh!!!! Mama mchungaji anakupenda sana mpendwa sema ni hivi vistory vyako vya kiselasela ndio vinakuangusha



Unapofukuzia mwanamke angalia huyo mwanamke ni mtu Wa aina gani,_ex: km ni mchamungu basi na wewe itabidi na ww ujifananishe nae kuongea na vingine viendane na uchamungu


Sasa wewee mpendwa wangu km upo serious itabidi uact ulokole banaa




SMILE JESUS LOVES YOU
 


Nilikumiss, unajua hilo lakini?
 
 
We rafiki yangu una mashaka kweli kweli .. Yaani unasherekea kukamilisha funga kwa kwa kufungua vizibo?
 
Aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…