Makapuku Forum

Unajitahidi sana mkuu..!

Nice work! Great attitude
Zaidi ya 50% ya maandishi huwa yanatoka kichwani mwangu ila data ndo huwa lazima niziandike kama vilivyo
Muda ukianza kubana nitakuwa naziandika pale nitakapopata muda misha niwe nasihifadhi zen kila siku niwe naziachia ila kwa sasa majukumu hauajabana ndio sababu huwa naandika LIVE
.......
 
Pamoja Comrade
 
Uko vizuri mkuu! Mimi nasoma sana novel nikiwa na muda wa mapumziko..

Ila michakato ikibana hata Nukuu nashindwa kuandaa
Ndo Hivyo mdau huwezi kuacha majukumu ya kukuingizia mkwanja ili tu uwepo JF
Piga kazi

Mi majukumu yskianza(siku hizi nipo free) nitapunguza kiwepo hapa ila sitaacha kuandika mada zangu nitazipost hata usiku wa manane
........
 
Kwanini usitengeneze blog yako mwenyewe then uwe unatupia maana kipaji unacho..
Au unapenda tu kua unatufaidisha tu halafu huingiz hata mia?
Fungua hata website tutakupa sapoti..wakati ndio huu chukua hatua jooh..
 
Brother heshimu kipaji chako ulichonacho..Kila kitu na changamoto zake uditegemee kupita mteremko tu kuna milima pia..
Amua tu nataka nifanye kitu flani baasi..Fuata ndoto zako na uzitumie..
Nilikuwa na mpango huo ila utawala wa sasa na sheria za makosa ys mtandaoni zikanitoa hofu....ila mpango bado upo

Yeye blog yake Ilikuwa tayari imeanza kukua Hivyo pia Ilikuwa Ni sehemu ya kujipima
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…