Makapuku Forum

Ni kweli, ila huwa nakuja kila mara nipatapo wakati. Nimefurahi kukuona pia halafu nikakumbuka lile jina lako la wakati ule ambalo kila mtu hapa makapuku alikuwa halipendi
Hahaha hilo jina lilinipa umaarufu, ilikuwa kiki tu, kuna member analitumia but kaongeza 2 mwishoni. Asante ulinipiga majiwe/mawe hadi nkaomba poo, nikaja na Kigli/quigley. I real miss those days, hakuna mfano wake Jimena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…