Poa mshkaji wanguAaaah kumbee! basi hakuna noma mshkaji wangu
Mpaka kusahau mikoba salamu ya aje hyoNi Husna wa Obe
Kwangu alikuja kusalimia tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
....
Salam tuu mkuu..Nyiee veepee mnapendana??!
Naona mmekazana mapendoo mapendooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mke mweeMpaka kusahau mikoba salamu ya aje hyo
You are welcome shunie...Leo una upako shemela wangu sio wa nchi hii
Unashusha maneno yananiingia moyoni jamaan [emoji120]
Ujue utavunja ndoa ya watu...Mpaka kusahau mikoba salamu ya aje hyo
Kwa masimango mnayoyafanya siwapi hata kongoroHapana mkuu..!
Tena inabidi nikutafute mdau..!
Mimi mlevi wa Supu sana! [emoji3]
Daah naomba uwe T huyu tu jamaan [emoji120] yule T mwingine Big noYou are welcome shunie...
Huyo ndio Transcend mwenyewe sasa..
Baba mchungaji fulani hivi ...[emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ujue utavunja ndoa ya watu...
Ndio kwanza wako honeymoon Ibiza..
Mkoba wa laki 5 uleMpaka kusahau mikoba salamu ya aje hyo
hahahhah me nakuja kwako karibu tu hapo na kwanguKwa masimango mnayoyafanya siwapi hata kpngoro
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Tena mimi nijua kuchinja mkuu..!Kwa masimango mnayoyafanya siwapi hata kpngoro
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......