Makapuku Forum

[emoji524] ZABURI 5

3.BWANA, Asubuhi utaisikia sauti yangu. Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.

[emoji523] Baba asante kutuamsha salama tunaomba toba kwa makosa yote tunayofanya kwa mawazo maneno na matendo tunaomba uturehemu,tunajikabidhibkwako jumamosi ya leo tuponye,tuongoze ,tutunze,tufariji sawa na mapenzi yako .Linda wasafiri tuokoe katika hatari zote za mwili na roho tunaomba yote kupitia mwanao Yesu Kristo Amen

SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…