Ndiyo. Musa. Joshua. Ibrahimu. Sodoma na Gommorah. Safari ya Waisraeli kutoka utumwani Misri. Sanduku la Agano lilipo (wanadai yawezekana ilikuwa ndiyo nuclear weapon ya kwanza) na mambo mengine mengi...
Haya bana. Nilidhani (new) capital infusion, modernization and market expansion ni mambo ya kawaida tu. Hata hivyo nimekuelewa. Bila shaka unataka kumgawa kwingine.