koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,787 Reaction score 10,394 Apr 26, 2016 #21,241 habari njema kwetu fans wa mkopo wa Man City Cristiano Ronaldo amepata injury wacha Real Madrid afe.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 26, 2016 #21,242 jonax said: wewe unaonekana ni Barcelona pure... Click to expand... umekosa mkuu...nipo Man utd
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Apr 26, 2016 #21,243 City anakufa leo
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 26, 2016 #21,244 Mussolin5 said: Haya bhana...mpira dk90 Click to expand... Tuwe pamoja humu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 26, 2016 #21,245 peterchoka said: Piga keleleeee Click to expand... Wataelewa tu Viva Madrid
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 26, 2016 #21,246 peterchoka said: Hala Madrid! Click to expand... Bale11
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 26, 2016 #21,247 jambilo said: Wakuu naona jf wameondoa mwaka wa members kujiunga, ni kuondoa tofauti ya kapuku na ukongwe labda! Click to expand... hahaha presha inapanda presha inashuka...
jambilo said: Wakuu naona jf wameondoa mwaka wa members kujiunga, ni kuondoa tofauti ya kapuku na ukongwe labda! Click to expand... hahaha presha inapanda presha inashuka...
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 26, 2016 #21,248 koncho77 said: habari njema kwetu fans wa mkopo wa Man City Cristiano Ronaldo amepata injury wacha Real Madrid afe. Click to expand... Koncho77
koncho77 said: habari njema kwetu fans wa mkopo wa Man City Cristiano Ronaldo amepata injury wacha Real Madrid afe. Click to expand... Koncho77
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 26, 2016 #21,249 jambilo said: Hata ukitaka kumuua panya lazima umpe samaki au dagaa ilhali umempaka sumu, like nimempa kumvuta apokee kaushauri cha kata maneno, natamani kuona AMANI INATAWALA humu, ci wajua nafasi yangu mkuu Ximena jamani! Click to expand... Umetisha Paroko ............................
jambilo said: Hata ukitaka kumuua panya lazima umpe samaki au dagaa ilhali umempaka sumu, like nimempa kumvuta apokee kaushauri cha kata maneno, natamani kuona AMANI INATAWALA humu, ci wajua nafasi yangu mkuu Ximena jamani! Click to expand... Umetisha Paroko ............................
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 26, 2016 #21,250 Th Name said: Hao wanoshabikia man city wasikimbie jukwaa tu Click to expand... Sisi tupo sana...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Apr 26, 2016 #21,251 Feni05 said: Click to expand... Hampati ubingwa mpaka Mr. bean Wengewenge aondoke ArsayNO The Mandaz .................
Feni05 said: Click to expand... Hampati ubingwa mpaka Mr. bean Wengewenge aondoke ArsayNO The Mandaz .................
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 26, 2016 #21,252 koncho77 said: habari njema kwetu fans wa mkopo wa Man City Cristiano Ronaldo amepata injury wacha Real Madrid afe. Click to expand... hakuna namna lazma wafe tuu
koncho77 said: habari njema kwetu fans wa mkopo wa Man City Cristiano Ronaldo amepata injury wacha Real Madrid afe. Click to expand... hakuna namna lazma wafe tuu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 26, 2016 #21,253 Mussolin5 said: Sisi tupo sana... Click to expand... Bado kidogo game ianze
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 26, 2016 #21,254 Bitoz mi sitaangalia mpira nategemea kuufatilia kupitia hapa hapa
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 26, 2016 #21,255 youngblood said: Poa mishe vipi mkuu. Click to expand... ni gud mkuu, siku yako imeendaje?
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Apr 26, 2016 #21,256 Mke amfumania mumewe na mfanyakazi wa ndani na kuwamwagia maji ya moto oneni picha hizi
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,787 Reaction score 10,394 Apr 26, 2016 #21,257 jambilo said: Koncho77 Click to expand... naam
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Apr 26, 2016 #21,258 Jimena said: Tuwe na subira Click to expand... hilo ndio la msingi
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Apr 26, 2016 #21,259 Bitoz said: Umetisha Paroko ............................ Click to expand... Pamoja mkuu
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Apr 26, 2016 #21,260 Bitoz said: ArsayNO The Mandaz ................. Click to expand... Asenali bana