9/
Indonesia
Nchi hii pia ni ya barani Asia
Wana mgodi maarufu uitwao Grasberg ambao umeajiri watu zaidi ya 19,000.....ndio mgodi unaoaminika kuzalisha kiwango kikubwa cha sumu takribani Tani 1000 za Mekyuri angani kila mwaka
Indonesia huzalisha dhahabu Kg 100,00 kwa mwaka
......