Makapuku Forum

Jamaan wenye no za mama mchuchu hivi anaendeleaje mama yangu [emoji134] [emoji134] sijamuona kalibia siku ya pili hii Mungu amtunze [emoji8]
Ndo shida ya kujifichaficha
Mi mtu ninayemwamini na urafiki wetu kupitiliza huwa nampa #
Maana humu JF huwa "sifabyi ukichaa,kutokana watu,kupost Jukwaa la wakubwa na mauzauza mengine
Zaidi napendelea kuchat kiutani,kuabzisha thread za kiburudani mfano Maajabu ya Joto City,Vituko Uswahilini,Chimbuko la Panya Road & Vigodoro n.k
Hivyo sina hofu ya kutekwa wala mtu kushangaa maisha ninayoishi siku tukikutana
Karibu Uswahilini kwetu Mabibo Beach
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
 
Kweli ujue watu mnaoaminiana mnapeana no me nikipotea mumtafute lee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…