salama kaka sijui weweDada habr ya kuamka
Marahaba Shunie Love you always nipo salama mwanangu,asante kwa kujali.Mama mchuchu shikamoo mama nini shida lakini au sababu baba mchuchu haonekani
Naona unasubiri kwa hamu sana[emoji57] [emoji57] naomba jibu mama
Asante kwa kuyapitia shemejiAsante kwa magazeti shemeji
mbona umekua adimu hivi mama ukiambiwa habari za binamu ndio unakimbia kimoja si tunajua mama kama moyo wako upo kwa baba mchuchu tuMarahaba Shunie Love you always nipo salama mwanangu,asante kwa kujali.
[emoji2]Naona unasubiri kwa hamu sana
Shikamoosalama kaka sijui wewe
marahaba umeamkajeShikamoo
Okmarahaba umeamkaje
Shunie hana shida. Simuibii mume wake. Mi ni mshauri tuHaaahaaahaaa.
Hata Shunie alistuka.
kila la kheriShunie hana shida. Simuibii mume wake. Mi ni mshauri tu
Kwan wewe mwizi ??Shunie hana shida. Simuibii mume wake. Mi ni mshauri tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122]kila la kheri
Hapana kabisa, sina nia hiyo!Kwan wewe mwizi ??
Sasa maneno mengine wanayatoa wapiii ??Hapana kabisa, sina nia hiyo!
Naona kashaamkaKalala ujuee
Hahahahambona umekua adimu hivi mama ukiambiwa habari za binamu ndio unakimbia kimoja si tunajua mama kama moyo wako upo kwa baba mchuchu tu
Mwendo wa kunipa like tu namuonaa tuuNaona kashaamka
[emoji109]Mzeewakungoa [emoji109]
Na wewe uwe na asubuhi njema Shunie Japo hujanisalimia mimiShemela asante kwa magazeti uwe na asubuhi njema