[emoji120] [emoji120] [emoji120] ameni mama mchuchu ubarikiwe pia[emoji524] 1 Wakorintho 13
1.Nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika,kama sina upendo ,nimekuwa shaba ilayo na upatu uvumao.
2.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima,kama sina upendo,si kitu mimi.
3.Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini,tena nikijitoa mwili wangu niungue moto,kama sina upendo ,hainifaidii kitu.
4.Upendo huvumilia,hufadhili,upendo hauhusudu,upendo hautakabari,haujivuni.
5.Haukosi kuwa na adabu,hautafuti mambo yake,hauoni uchungu,hauhesabu mabaya.
6.Haufurahii udhalimu,bali hufurahia pamoja na kweli.
7.Upendo haupungui neno wakati wowote,bali ukiwepo unabii utabatilika,zikiwapo lugha ,zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika.
TUOMBE
Baba Asante kutuamsha salama,tunakushukuru kwa yote unayotutendea umekuwa mwema kwetu hakika wema wako na fadhili zako hazichunguziki.
Tunajikabidhi mikononi mwako Baba tulinde,tuongoze,tuponye,tufundishe Upendo Wa kweli ,kujaliana,kuthaminiana,kuchukuliana katika kila jambo ili dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa kila mmoja wetu,tutenge na ubinafsi,chuki zisizo na sababu,tujenge katika misingi ya upendo kwa kila mmoja wetu,Upendo kwa jirani.
Baba asante kwakuwa utafanya sawa na mapenzi yako.
NEEMA YAKO YATOSHA
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Asante best..ilikuwa so poa! Thank youuuWakajinyongee
Pole na uchovu jana ...[emoji8]
Karibu dear[emoji120] [emoji120] [emoji120] ameni mama mchuchu ubarikiwe pia
Asante sana ankaliView attachment 518456Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa sweetiepie jirani
Nawatakieni wote jumamos njema
NakuaminiaEbhu tulia supu unapata mamaa
Tusiwape watu faida mengine kaa nayoAsante best..ilikuwa so poa! Thank youuu
Karibu Lee ubarikiweAsante mama mchungaji Mungu azidi kukubarikiii
Mimi tena ...we malizia usingzi wako kwanzaNakuaminia
Asante[emoji524] 1 Wakorintho 13
1.Nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika,kama sina upendo ,nimekuwa shaba ilayo na upatu uvumao.
2.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima,kama sina upendo,si kitu mimi.
3.Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini,tena nikijitoa mwili wangu niungue moto,kama sina upendo ,hainifaidii kitu.
4.Upendo huvumilia,hufadhili,upendo hauhusudu,upendo hautakabari,haujivuni.
5.Haukosi kuwa na adabu,hautafuti mambo yake,hauoni uchungu,hauhesabu mabaya.
6.Haufurahii udhalimu,bali hufurahia pamoja na kweli.
7.Upendo haupungui neno wakati wowote,bali ukiwepo unabii utabatilika,zikiwapo lugha ,zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika.
TUOMBE
Baba Asante kutuamsha salama,tunakushukuru kwa yote unayotutendea umekuwa mwema kwetu hakika wema wako na fadhili zako hazichunguziki.
Tunajikabidhi mikononi mwako Baba tulinde,tuongoze,tuponye,tufundishe Upendo Wa kweli ,kujaliana,kuthaminiana,kuchukuliana katika kila jambo ili dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa kila mmoja wetu,tutenge na ubinafsi,chuki zisizo na sababu,tujenge katika misingi ya upendo kwa kila mmoja wetu,Upendo kwa jirani.
Baba asante kwakuwa utafanya sawa na mapenzi yako.
NEEMA YAKO YATOSHA
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Amen.Na kwako pia[emoji524] 1 Wakorintho 13

Haaahaaahaaa.Wanaona wivuuu
Karibu dearAsante
Siku njema na kwako pia
Njema karibuHabari ya asubuhi wapendwa
Nawe pia ubarikiweAsubuhi njema makapuku wote
Pamoja sana ankaliAsante sana ankali
Habr yako shemejiMorning Lee
Ramadhan Kareem,Mungu awabariki sana wenzetu wote mnaofunga na ambao hamjajaaliwa Mungu awape wepesi katika mfungo.Mfungo nane leo, Ramadhan Kareem
Niko vizuri sana mama watoto, Asante kwa breakfastAsante kwa magazeti baba watoto,hope unaendlea vzr
Amen[emoji524] 1 Wakorintho 13
1.Nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika,kama sina upendo ,nimekuwa shaba ilayo na upatu uvumao.
2.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima,kama sina upendo,si kitu mimi.
3.Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini,tena nikijitoa mwili wangu niungue moto,kama sina upendo ,hainifaidii kitu.
4.Upendo huvumilia,hufadhili,upendo hauhusudu,upendo hautakabari,haujivuni.
5.Haukosi kuwa na adabu,hautafuti mambo yake,hauoni uchungu,hauhesabu mabaya.
6.Haufurahii udhalimu,bali hufurahia pamoja na kweli.
7.Upendo haupungui neno wakati wowote,bali ukiwepo unabii utabatilika,zikiwapo lugha ,zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika.
TUOMBE
Baba Asante kutuamsha salama,tunakushukuru kwa yote unayotutendea umekuwa mwema kwetu hakika wema wako na fadhili zako hazichunguziki.
Tunajikabidhi mikononi mwako Baba tulinde,tuongoze,tuponye,tufundishe Upendo Wa kweli ,kujaliana,kuthaminiana,kuchukuliana katika kila jambo ili dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa kila mmoja wetu,tutenge na ubinafsi,chuki zisizo na sababu,tujenge katika misingi ya upendo kwa kila mmoja wetu,Upendo kwa jirani.
Baba asante kwakuwa utafanya sawa na mapenzi yako.
NEEMA YAKO YATOSHA
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
AMEENRamadhan Kareem,Mungu awabariki sana wenzetu wote mnaofunga na ambao hamjajaaliwa Mungu awape wepesi katika mfungo.