Makapi yaivuruga CHADEMA Monduli

Makapi yaivuruga CHADEMA Monduli

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Mwenyekiti na Katibu wa chama hicho wameachia ngazi huku viongozi wengine wakitafakari kuendelea kuwepo ndani ya chama hicho.
[video=youtube_share;i4erzuHSqLE]http://youtu.be/i4erzuHSqLE[/video]
 
Sironga,classmate wangu, Tulia rafiki,CDM asili itarudi baada ya 25Oct. Mbowe lazima aondolewe nafasi ya uenyekiti.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Sironga,classmate wangu, Tulia rafiki,CDM asili itarudi baada ya 25Oct. Mbowe lazima aondolewe nafasi ya uenyekiti.

Kwani Mbowe akiondoka baada ya 25/10 ana shida gani? Na ameshalamba Bilioni zake? Maisha yeye na Familia yake yanaendelea bakini na Chadema Asili yenu
 
...classmate wangu..mwingine bilioni 10, wote mna mawazo mfu! CDM ipo kwa ajili ya wote wenye mapenzi mema. Monduli imeshakua ya chadema nyie endeleeni kulia lia tu na hao wawili walioondoka,wkt tulishaona mamia wakihamia chadema.
 
Mapenzi kwa mke wako na watoto wako Classmate! Sio CDM Ndio maana Lowassa ujana wake kaulia CCM uzee Chadema! Kwani nini Kwa linchi likubwa kama Tanzania Monduli kuwa ya Chadema? Unaweka nusu kijiko cha sukari kwenye bahari?
 
Tunapowaambiwa kuwa wapinzani hawajajipanga sio kwamba tunatania bali tunamaanisha. sasa mtu anahamia leo na kuwa mgombea. hivi mmewahi kusikia yeyote aliyehamia ccm hata kama ni maarufu kiasi gani kupata nafasi ya kugombea?
 
Richard Tambwe Hiza
 
Wapinzani wamejipanga sana na nitishio kwa uhai wa ccm na ndio maana ccm wanawanunua baadhi ya waroho, Ccm mnafanya siasa ya hovyo ya kuwanunua/kuwahonga hela ili ionekane watu wanajitoa chadema, kumbe kwa shinikizo la pesa chafu, mdawti, shule, hospital, maji hamna, ninyi mnahonga mtu mmoja hela kibao na wakati huo bado kura atatpiga kwa Ukawa
 
Wanaokubali kurudi kwenye shimo la choo inabidi wakapimwe akili zao.Dr Muhogo alishawaambia kuwa huko ni ndani ya shimo la choo lakini bado hawaelewi.Waacheni wakaungane na matopazi.
 
Habari ya mwezi uliopita hii.

Ccm mmekosa pa kushika mwaka huu.
 
...classmate wangu..mwingine bilioni 10, wote mna mawazo mfu! CDM ipo kwa ajili ya wote wenye mapenzi mema. Monduli imeshakua ya chadema nyie endeleeni kulia lia tu na hao wawili walioondoka,wkt tulishaona mamia wakihamia chadema.

Tatizo hao mamia nia aina ya Lowasa - hawaji kwa mapenzi bali wanakuja kutafuta nafasi za kugombea. Hivi kwa akili yako unadhani Lowasa asingepishwa URAIS angekuwa na CHADEMA? Unakumbuka Saidi Mkumba alipoukosa ubunge yuko wapi sasa hivi? hao ndio mamia wenu mnaojivunia? Masikini CHADEMA yangu, Tulikupenda lakini Mafisadi wamekupenda zaidi.
 
Wapinzani wamejipanga sana na nitishio kwa uhai wa ccm na ndio maana ccm wanawanunua baadhi ya waroho, Ccm mnafanya siasa ya hovyo ya kuwanunua/kuwahonga hela ili ionekane watu wanajitoa chadema, kumbe kwa shinikizo la pesa chafu, mdawti, shule, hospital, maji hamna, ninyi mnahonga mtu mmoja hela kibao na wakati huo bado kura atatpiga kwa Ukawa

Kwa hio wanaorudi CCM wananunuliwa na wanaokwenda CDM wananunua kuingia CDM ili kupangiwa kuwa wagombea.safi sana ndio maana.kuna Chadema Asili na CHADEMA MAKAPI
 
Back
Top Bottom