Makapi yaivuruga CHADEMA Monduli

Makapi yaivuruga CHADEMA Monduli

Ccm ni chama imara kosa tuliolifanya ni kuwaweka tuliowaita madisadi hapa kazi tu
 
Mapenzi kwa mke wako na watoto wako Classmate! Sio CDM Ndio maana Lowassa ujana wake kaulia CCM uzee Chadema! Kwani nini Kwa linchi likubwa kama Tanzania Monduli kuwa ya Chadema? Unaweka nusu kijiko cha sukari kwenye bahari?

..wacha kujifanya kipofu ww, ccm mna kitu gani chakuringia?! nyie mmekuja mbio mbio ooh sijui kina nani wameondoka chadema, nikawajibu hao walioondoka na walioingia monduli wapi wengi?! umeshindwa kujibu unarukia tz, anyway, sijui ni tz ipi unayoizungumzia km sio kujitia upofu tu.!
 
..wacha kujifanya kipofu ww, ccm mna kitu gani chakuringia?! nyie mmekuja mbio mbio ooh sijui kina nani wameondoka chadema, nikawajibu hao walioondoka na walioingia monduli wapi wengi?! umeshindwa kujibu unarukia tz, anyway, sijui ni tz ipi unayoizungumzia km sio kujitia upofu tu.!

Ni wapi wengi utajua hio tarehe 25 ni wapi wengi.
CCM invyovingi vya kuringia na maana hata leo baada ya miaka 20 CHADEMA wameshindwa kuwa na watu wanaoaminika kugombea nafasi mpaka wasubiri Waachwe CCM ndio wachukue MAKAPI kulikozaa CHADEMA ASILI na CHADEMA MAKAPI
 
Tatizo hao mamia nia aina ya Lowasa - hawaji kwa mapenzi bali wanakuja kutafuta nafasi za kugombea. Hivi kwa akili yako unadhani Lowasa asingepishwa URAIS angekuwa na CHADEMA? Unakumbuka Saidi Mkumba alipoukosa ubunge yuko wapi sasa hivi? hao ndio mamia wenu mnaojivunia? Masikini CHADEMA yangu, Tulikupenda lakini Mafisadi wamekupenda zaidi.

..unajaribu kutumia reference za kijinga ku justify upuuzi ulioandika hapa. Mbona hujamzungumzia bulaya, vp na lembeli?!
Magamba endeleeni kujiliwaza tu ila mwaka huu sindano za ukawa lzm ziwatoboe mfupa.!
 
monduli ni ccm dam!!!!haukuwahi kutawaliwa na mwingine zaid ya fisadi lowasa!!!tena wana maisha magumu sana !!!tatizo wamasai anawanunua!!!huyo mtoto wa sokoine ndiye aliyekabidhiwa jimbo hata kabla ya lowasa kuhamia cdm!!ndiye alikuwa anagombea na lowasa!!!sasa nani atamshinda!!!ccm tayar wanachukua
 
..unajaribu kutumia reference za kijinga ku justify upuuzi ulioandika hapa. Mbona hujamzungumzia bulaya, vp na lembeli?!
Magamba endeleeni kujiliwaza tu ila mwaka huu sindano za ukawa lzm ziwatoboe mfupa.!

Kimsingi sina tatizo na Bulaya na Lembeli. Hawa ni watu wenye record za kuupinga ufisadi hata walipokuwa ndani ya CCM. Tuliwatamani waje CHADEMA siku nyingi ili kuongeza nguvu za mapambano dhidi ya mafisadi.
Wanachadema original hawajawahi kuwatamani akina Lowasa na wale marafiki zake wezi wa KAGODA, DOWANS nk ambao leo hii ingawa bado wamebaki CCM kimwili Magazeti yao yapo busy kumpigia kampeni fisadi mwenzao kwa sababu wanajua akiukwaa urais watahakikishiwa usalama wao.
Hii ya sasa ni CHADEMA feki, CHADEMA DODOKI, CHADEMA kimbilio la mafisadi.
 
...classmate wangu..mwingine bilioni 10, wote mna mawazo mfu! CDM ipo kwa ajili ya wote wenye mapenzi mema. Monduli imeshakua ya chadema nyie endeleeni kulia lia tu na hao wawili walioondoka,wkt tulishaona mamia wakihamia chadema.
Mkuu umesahau utamaduni wenu,nakukumbusha u edit tena uandike hivi,"waende zao hao ni wasaliti lumumba buku saba"
 
Mgombea urais wa ukawa alimhonga Mbowe bilioni kumi wiki hiyo hiyo akapata uanachama wa CDM, wiki hiyo hiyo akachukua fomu za urais, na wiki hiyo hiyo akawa mgombea urais bila kujali kuwa ni fisadi ambaye chama Chake cha sasa kilizunguka Nchi nzima kutangaza sifa ya mgombea wake huyo kuwa Ni Fisadi. Usishangae viongozi wa CDM monduli kuhama CDM kwa kuwa wanajua uzumbukuku wa CDM
 
Wapinzani wamejipanga sana na nitishio kwa uhai wa ccm na ndio maana ccm wanawanunua baadhi ya waroho, Ccm mnafanya siasa ya hovyo ya kuwanunua/kuwahonga hela ili ionekane watu wanajitoa chadema, kumbe kwa shinikizo la pesa chafu, mdawti, shule, hospital, maji hamna, ninyi mnahonga mtu mmoja hela kibao na wakati huo bado kura atatpiga kwa Ukawa

Na hiyo ndio political arena..wewe ni mtazamaji tu...lets the politics do the wonder..
 
Back
Top Bottom