Makao Makuu ya SIDO yako wapi?

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,796
5,520
Natumaini amjambo humu ndani wasaka tonge wenzangu, samahani wadau naombeni mnielekeze makao makuu ya sido kwa hapa dar es salaam nina shida ya kwenda huko.
 
Natumaini amjambo humu ndani wasaka tonge wenzangu, samahani wadau naombeni mnielekeze makao makuu ya sido kwa hapa dar es salaam nina shida ya kwenda huko.

Yapo Upanga ukifika kituo cha FIRE ukiulizia makao makuu ya SIDO hata kama hujui mitaa utaelekezwa na kufika.Ofisi inapakana na Shule ya Sekondari Ya Mzizima.
 
Yapo Upanga ukifika kituo cha FIRE ukiulizia makao makuu ya SIDO hata kama hujui mitaa utaelekezwa na kufika.Ofisi inapakana na Shule ya Sekondari Ya Mzizima.

Shukrani ndugu yangu mana ajira zimekuwa ngumu mpk tunataka tujiajili
 
Kama unataka makao makuu kwa maana ua taifa ni upanga lakini kama unataka sido kwa mkoa wa dsm ni nyerere road kituo kinaitwa sido ni next to vingunguti kama unatokea tazara kuelekea airport
 
Kama unataka makao makuu kwa maana ua taifa ni upanga lakini kama unataka sido kwa mkoa wa dsm ni nyerere road kituo kinaitwa sido ni next to vingunguti kama unatokea tazara kuelekea airport

Powa kamanda nimekupata
 
Wadau,

Nahitaji ushauri wa kitaalam na hawa watu, kwa mtu yeyote anayejua walipo hapa Dar please anijuze.
 
Panda gari linaloenda Gongo Lamboto ukivuka Vingunguti kituo kinachofuata kinaitwa SIDO.Ukishuka hapo unavuka upande wa pili utakuta bango lao kwenye geti kuu la kuingilia kwenye ofisi zao. Hii ni kama unatokea uelekeo wa TAZARA.
 
Panda gari za mwendokasi hadi kituo cha Bhakresa au Fire cha Kariakoo, Ukifika hapo utaona kuna ghorofa refu sana limejengwa kwenye eneo la umoja wa vijana, nyuma yake ndipo zilipo ofisi na makao makuu ya Sido. Hii sido ya karibu na airport sana sana kuna workshops tu pale.
 
Back
Top Bottom