Makao makuu ya HESLB yako wapi?

Makao makuu ya HESLB yako wapi?

wamesema muda wa maombi umeisha kwahiyo hakuna namna wanaweza kunisaidia
Sasa si wameshasema wanatoa majina ya waliokosea taarifa zao labda ndio maana wamekuacha , sababu watu 16000 wamekosea kujaza fomu
 
Sasa si wameshasema wanatoa majina ya waliokosea taarifa zao labda ndio maana wamekuacha , sababu watu 16000 wamekosea kujaza fomu
Kaka nimeuliza kuhusu hilo suala la kutoa majina nilichojibiwa nanukuu "Hiyo si guarantee, tunaweza tukatoa au tusitoe".
 
Back
Top Bottom