Makao makuu ya HESLB yako wapi?

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Ndugu zangu nina tatizo moja ambalo katika maombi yangu ya mkopo ambapo nimeshauriwa njia nzuri ya kulitatua ni kwenda makao makuu ya HESLB.

Tatizo lenyewe ni kwamba nilituma cheti ambacho hakikuhakikiwa na RITA.

Sasa naomba kujuzwa makao makuu ya HESLB yako wapi hapa Dar es salaam?

Natanguliza shukrani!
 
We upo wap kwanza?? Anyway fika mawasiliano panda gari zinazoenda kawe, kuna kituo kinaitwa mpakan(MWENGE VINYAGO) utashuka hapo ,then vuka barabara utaliona jengo la HESLB..huez potea au ukifka hapo mpakan unaeza uliza then utaelekezwa zaid

Au kama unatokea makumbusho panda gari za mbez au hata za bgrn utashuka hapohapo mpakan!!!
 
Nashkuru sana ndugu yangu.
 
ushauri: wakishatoa majina ya watu waliokosea kufanya application ya loan basi wahi mapema ikiwezekana alfajiri kwa sababu watu ni wengi.
 
We upo wap kwanza?? Anyway fika mawasiliano panda gari zinazoenda kawe, kuna kituo kinaitwa mpakan(MWENGE VINYAGO) utashuka hapo ,then vuka barabara utaliona jengo la HESLB..huez potea au ukifka hapo mpakan unaeza uliza then utaelekezwa zaid

Au kama unatokea makumbusho panda gari za mbez au hata za bgrn utashuka hapohapo mpakan!!!
Bugurun via Mandela road asijepanda yanayopita ilala boma
 
Wadau naomba kujua hii RITA inamaan gan au nini haswa??
Nadhani ni kifupi cha registration insolvency and trustesheep agency ( samahani kama nimekosea spelling) inahusika na huduma za usajili, udhamini na ufilisi! Watakuja wengine kuongezea
 
Taja mahali ulipo upate LOCATION sahihi na ushauriwe upande magari yanayoenda wapi............
 
Mwenge vinyago(mpakan) then ingia na barabara inayoelekea mama ngoma hospital kabla hujafika jengo la mama ngoma utaliona jengo la HESLB
 
Ndugu zangu nina tatizo moja ambalo katika maombi yangu ya mkopo ambapo nimeshauriwa njia nzuri ya kulitatua ni kwenda makao makuu ya HESLB.

Tatizo lenyewe ni kwamba nilituma cheti ambacho hakikuhakikiwa na RITA.

Sasa naomba kujuzwa makao makuu ya HESLB yako wapi hapa Dar es salaam?

Natanguliza shukrani!
Mwenge karibu na kijiji cha vinyago. Dar
 
Asanteni kwa wote mliojitolea kunieleeza, nimeenda na kiukweli imeshindikana kwahiyo kuna uwezekano mdogo wangu akakosa mkopo.
 
Simu yako haina Google Map? siyo kila kitu lazima uukize watu.

Haribu kuitumikisha akili yako kikamilifu.
 
Back
Top Bottom