assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #61
Nchi haijengwi kwa matusi kejeli na majigambo.vyama vitapita lkn tz itabaki milele
well said
Nchi haijengwi kwa matusi kejeli na majigambo.vyama vitapita lkn tz itabaki milele
Hilo ni swali la kipuuzi sana,Makao makuu ya chama yapo pale inakuwaje mtaa uangukie Upinzani?Mtaendelea kutetea udhaifu wa viongozi wenu hadi lini?
Akili inayoshindwa kulipambanua hili swali ndo ya kipuuzi, hebu jiulize inakuwaje magogoni kuna harufu mbaya wakati ni jirani na ikulu! Au inakuwaje nchi hii ni maskini wakati kuna kila kitu. Hii haisababishwi na viongozi pekee bali wananchi wenyewe. Ni wajinga wanaendelea kuwaweka madarakani wezi, hata pale kunakuwepo ushahidi. Sasa ulitaka CDM au viongozi wajipigie kura ili washinde!!
Inakuwaje mtu anaacha kanisa XX lilopo mtaani kwake anapanda daladala au kuchoma mafuta kwenda kanisa BB lilopo mtaa wa mbali? Je, ni kwa sababu wachungaji wa kanisa XX ni wazembe? Kweli great thinker hawapo tena JF.
Hilo ni swali la kipuuzi sana,Makao makuu ya chama yapo pale inakuwaje mtaa uangukie Upinzani?Mtaendelea kutetea udhaifu wa viongozi wenu hadi lini?
Nyie mngeshinda mtaa wa lumumba si mngejaza sever hapa, kupata izo 28% imekuwa balaa.
kwani nini maana ya neno wonderful