Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Tayari wakuu mmesha sahau hapa Iringa mtaa wa sabasaba yalipo makao makuu ya ccm ya wilaya na nyumbani kwa kada maarufu na kamanda wa vijana wa ccm tena mwarabu na mkwe wa tezi dume yapo chini ya cdm.Isitoshe hata makao makuu ya mkoa hapa Iringa mtaa wa makorongoni yapo chini ya cdm.nadhani hilo gazeti la uhuru wanajifariji baada ya msiba mkuu ambao haujawahi na wala hawakuwaza wala kufikiri kama ungetokeaHata pale ikulu ya Mwanza kuanzia wa kitongoji mpk mtaa m/Kitu ni CD, itabd kila mkulu anapoingia watoe taarifa kwanza kwa m/kiti wetu