Makao makuu CHADEMA 'chini ya ulinzi'

Makao makuu CHADEMA 'chini ya ulinzi'

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.

wonderful
 
  • Thanks
Reactions: Gor
hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu chadema kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya chadema makao makuu mtaani lazmwafike ofisi za mtaa za ccm.

wonderful

Kwani nchi inatawali na nani asa hv!!! though upinzani unawanyoosha akili zenu!!!
unajitambua kweli!!!?
 
Nyie mngeshinda mtaa wa lumumba si mngejaza sever hapa, kupata izo 28% imekuwa balaa.
 
Hilo halina mashiko kwani nchi nzima si inaongozwa na CCM? Cha ajabu hapo ni kipi? Pale tumeweka makao yetu makuu basi kama majirani ni CCM hatuna ubaya nao na huduma tutazifuata kama kawaida. Na wao sehemu CDM wanaongoza watapata huduma bureeeee!
 
kuna watu wajinga sana hapa ccm, na hivyo vijiji 3000 na ushee walivyoshinda ukawa ina maana ccm wako chini ya ulinzi?
 
hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu chadema kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya chadema makao makuu mtaani lazmwafike ofisi za mtaa za ccm.

wonderful

Kizota Dodoma kuwa chini ya CDM hiyo imekaaje? Makazi ya Waziri Mkuu huko Chanika kuwa chini ya CDM ikoje?

Uhuru, Mzalendo, DailyNews, Habarileo yamerundika waandishi makanjanja.
 
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.

wonderful

Wee jamaa una akili za hovyohovyo!! vi-thread vyako vimekaa kishapenka tuu!! Huwa wewe ni maarufu kwa vigodoro?
 
Gazeti la UHURU kila siku huwa wanachapisha nakala 2000 pekee wakati msgszeti mengine km MWANANCHI wanachapisha hadi nakala 200,000 kwa siku.
 
Nyie mngeshinda mtaa wa lumumba si mngejaza sever hapa, kupata izo 28% imekuwa balaa.
Mijitu ya chama cha majambazi(CCM) huwa hayana jipya!! Yamekongoroka akili!! wao ni wizi tu na kuteteana!!
 
Gazeti la UHURU kila siku huwa wanachapisha nakala 2000 pekee wakati msgszeti mengine km MWANANCHI wanachapisha hadi nakala 200,000 kwa siku.

Acha uongo hakuna gazeti Tanzania wala Afrika mashariki linalochapisha nakala 200,000 danganya wajinga wenzako!!!
 
Mjinga wa kwanza ni wewe, sh..e..nzi....kabisa kama ni raha kutukana wenzako!!!

Bebhe ganyana ebhe nang'ho gazeti linawafia mikononi hilo!! Huku Shinyanga mbona hata wao makao makuu ya mkoa yako chini ya UKAWA! Sasa na wao waseme maccm yako chini ya ulinzi?:Hivi mtaa Wa ikulu pale magogoni haujachukuliwa na UKAWA? Hebu tupeni taarifa wadau!!
 
Niliwahi kununua gazeti la MZALENDO mwaka 2008 kwa sababu kulikuwa na tangazo linalonihusu! ila nilinyofoa tu ukurasa wa tangazo zingine nikamuachia muuza magazeti! Mpaka leo sijawahi kununua hilo gazeti!!
 
Kuna tatizo kubwa nitaa yaliyoko makao makuu ya CDM. Toka mwanzoni serikali ya mtaa ilikuwa chini ya CCM cha ajbau nini sasa?

CCM imeshikwa na mshituko...mkubwa wa kiwango cha mshindo...inahitaji muda kujitafakari...
 
Acha uongo hakuna gazeti Tanzania wala Afrika mashariki linalochapisha nakala 200,000 danganya wajinga wenzako!!!

Ahsante kwakuwa hujapinga kuhusu nakala zinazochapishwa na kigazeti chenu kisichosomwa hata na Nnape Nauye, pita kokote kule ukiona mtu anasoma hilo gazeti la UHURU basi una bahari siku hiyo
 
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.

wonderful
Sio kitu cha ajabu. Hapa Songea kuna Mtaa unaitwa Mtaa wa CCM ndani ya Kata ya Mjini ambapo Ofisi za Wilaya Mjini na Vijijini na Mkoa za CCM zipo. Mtaa huu upo chini ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Kata yenyewe ya Mjini ipo chini ya Diwani wa CHADEMA. Msishangae.
 
Back
Top Bottom