Wachungaji wengi siku hizi hasa makanisa ya kilokole wamegeuka wapiga dili, mahubiri yao yamejaa toa ndugu toa ulinacho nacho ukienda makanisani wengi wanahubiri utoaji mwanzo hadi mwisho wa ibada wamegeuza nyumba za ibada biashara, na yule anaetoa kanisani hata kama ni mtenda dhambi mkubwa anaheshimika kuliko yule masikini anaemwabudu Mungu kwa haki hata kama hamtolei ipasavyo, ukienda kwenye 90% ya mafundisho ni toa toa toa na harambee za kila siku hubirini neno la Mungu achaneni na tamaa unajisikiaje wewe mchungaji kutembelea gari nzuri wakati muumini wako anashindia mlo mmoja tena ambao sio mlo kamili kwanini mmegeuza nyumba za Mungu vitega uchumi vyenu, mbona masheikh hawatembelei magari mazuri kama nyie wachungaji.