Mie sina mchungaji mkuu ndiyo maana nimeuliza na najua JF wachungaji hawakosekani.....
<br />o.k nimekumbuka rev.masanilo atakuambia,........lakn sidhani kama atakubali kuweka hadharani janja yao ya nyani...asipokuambia nakuahidi jpili nitamuuliza mchunga kondoo wangu halafu ntakujuza.
<br />o.k nimekumbuka rev.masanilo atakuambia,........lakn sidhani kama atakubali kuweka hadharani janja yao ya nyani...asipokuambia nakuahidi jpili nitamuuliza mchunga kondoo wangu halafu ntakujuza.
Wafalme 3:4Suleiman akatoa sadaka elfu za kuteketezwa juu ya madhabahu ile..mbele tunaona Suleiman akibarikiwa utajiri,hekima, maarifa, maisha marefu nk. kupita wanadamu wengine..kuna uhusiano ktk kutoa na kupokea..Kristo anasema ni heri kutoa kuliko kupokea..budha wanatoa sadaka,moslems wanatoa,pagans wanatoa sadaka sijui wewe dini gani...wasihubiri ndoa unataka wahubiri nini..mbona kuna ndoa za futari..mkeka nk....au...ndo nyani haoni kundule..!?