Makanisa mengi hasa ya Kilokole ni Mradi wa Shetani

Makanisa mengi hasa ya Kilokole ni Mradi wa Shetani

Duniani kifo ndio ukomo,na pia hii dunia ikifika mwisho itakunjwa Kama karatasi na kutupwa motoni.
Kol 1:16-17
Uthibitisho wa hizo galaxy zikiwemo UFO ni kitu really

Kol 1:16-17 SUV​

Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake. Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.
Alfu lela ulela
 
Dunia ni kijisehemu tu Cha galaxy ni sawa na nukta tu ndani ya emisphere zinazoelea angani,zipo mamilioni ya sayari still bado sayansi inaendelea kuzivumbua achilia hizo zinazofahamika hadi Sasa,zikiwemo zenye uhai wa viumbe hai vingine vya Mwenyezi Mungu,Pana sayari ambayo UFO wapo kwa technology ya UFO tu hakuna technology yeyote ya Mwanadamu inaweza mudu kuikamata au kuifikia chomboo Cha wanadamu lazima kiungue.
Zipo sayari ambazo ni more advanced wao wapo mbele miaka elf 3 hizi latest technology mfano computer, CCTV,tv, smart phone,flat tv,jet fighter,nk kwao zipo tangu miaka elf 3 nyuma yetu.
.Hata kuzimu tu ipo more advanced kuliko hii Dunia yetu sembuse galaxy hizo zingine.
Karibu ulimwengu wa maarifa ndugu usijifungie kwenye box la sayansi tu sayansi Sio only factor ya kuprooof things,zipo elimu zingine.Karibu shule
Hapo ni hearsay tu umeandika.

Unaweza kuniambia kuhusu hyo sayari wako mbele miaka elfu tatu iko wapi na inaitwaje na viumbe wake wakoje!?

Halafu unajisifu kwa hearsay like sreous!!?

Mara kuzimu Kuzimu ndo nini hapo!?
 
Kwa mfano haya mambo ya mikesha mbona ni hatari sana kwao
Naona kama Wana Mungu wao tu
 
Hapo ni hearsay tu umeandika.

Unaweza kuniambia kuhusu hyo sayari wako mbele miaka elfu tatu iko wapi na inaitwaje na viumbe wake wakoje!?

Halafu unajisifu kwa hearsay like sreous!!?

Mara kuzimu Kuzimu ndo nini hapo!?
Ulimwengu usioonekana unaweza kuuingia kupitia sala, meditation au astra projection ( hivi ni vitendo vya kutoka nje ya mwili ) yaani unaacha mwili wake umelala wewe unatoka kiroho na kuingia popote Duniani au katika ulimwengu mwingine hii wachawi nao wanafanya hii.
 
Nmekuuliza kuhusu hiyo sayari umeshindwa kuniambia iliko, kwamaana ni hearsey tu
Na hiyo sayari unayoiongelea wewe haipo.

Then bado umekuja na alfu lela ulela nyingine
 
Nmekuuliza kuhusu hiyo sayari umeshindwa kuniambia iliko, kwamaana ni hearsey tu
Na hiyo sayari unayoiongelea wewe haipo.

Then bado umekuja na alfu lela ulela nyingine
Isingekuwepo hizo elimu zisingekuwepo
 
Unaelewa kuwa Hujajibu swali langu!?

Au umeshindwa tu kuielezea hiyo sayari iliyoko mbele ya dunia kwa miaka 3000 kwa sababu haipo!?
Pitia elimu hizi unaingia ulimwengu usioonekana meditation,uchawi,,, astra projection, Kundalini nk utauona.
Vyote uvionavyo ulimwengu huu ni copy na paste toka ulimwengu mwingine usioonekana mfano rada, makombora,tv,simu,ndege,sensor,nk ni photocopy toka ulimwengu usioonekana.
Hata ulimwengu wa UFO ni real,
Kuzimu tu ipo more advanced.
Pana watu wanaishi ulimwengu usioonekana na huu unaonekana.
Kwani mitume na manabii wa uongo,wasanii wakubwa,wanasiasa nk wanaenda huko ili kupata nguvu na uwezo huo walionao
 
Kama sayansi yenyewe inafika mahali inagota inaproof Kuna Nguvu ya ziada undefined wao wanaiita nature ukisema nature unamaanisha Mungu uanza
Inapoishia sayansi
 
Kama sayansi yenyewe inafika mahali inagota inaproof Kuna Nguvu ya ziada undefined wao wanaiita nature ukisema nature unamaanisha Mungu uanza
Inapoishia sayansi
Lini science imeproof nguvu ya ziada
 
Pitia elimu hizi unaingia ulimwengu usioonekana meditation,uchawi,,, astra projection, Kundalini nk utauona.
Ni ulimwengu usioonekana kiaje

Mimi nmewahi kujifunza na kupractise transcendental Meditation (TM) na sikuwahi kuona hiyo sayari iliyoko Miaka 3000 mbele ya dunia.

Huenda huelewi Meditation, ila una hersey tu.

Lengo ni kujua hiyo sayari...
Wewe hapo umepitia elimu ipi hapo kujua hiyo sayari?

Kuzimu tu ipo more advanced.
Pana watu wanaishi ulimwengu usioonekana na huu unaonekana.
Kwani mitume na manabii wa uongo,wasanii wakubwa,wanasiasa nk wanaenda huko ili kupata nguvu na uwezo huo walionao
Kuzimu ndio wapi!?
Hata ulimwengu wa UFO ni real
Wewe Unaelewaje UFO.
UFO ni nini!?
Vyote uvionavyo ulimwengu huu ni copy na paste toka ulimwengu mwingine usioonekana mfano rada, makombora,tv,simu,ndege,sensor,nk ni photocopy toka ulimwengu usioonekana
Kama kweli siyo mawazo yako tu, Unaweza thibitisha madai haya?
 
Ni ulimwengu usioonekana kiaje

Mimi nmewahi kujifunza na kupractise transcendental Meditation (TM) na sikuwahi kuona hiyo sayari iliyoko Miaka 3000 mbele ya dunia.

Huenda huelewi Meditation, ila una hersey tu.

Lengo ni kujua hiyo sayari...
Wewe hapo umepitia elimu ipi hapo kujua hiyo sayari?

Kuzimu ndio wapi!?

Wewe Unaelewaje UFO.
UFO ni nini!?

Kama kweli siyo mawazo yako tu, Unaweza thibitisha madai haya?
UFO ni viumbe toka sayari nyingine nje ya dunia NASA wameshindwa bado wanatafiti thus wakawapa jina la UFO yaan undefined flying object kwa maendeleo ya technology ya UFO hakuna chombo chochote cha mwanadamu kinawesogelea UFO vinayeyuka.

Meditation zipo za aina nyingi inategemea unamediteti kuhusu nini.

Jaribu elimu ya uchawi uone yasiyoonekana

Kuzimu zipo mbili ya Duniani mfano Gamboshi, nyumba nitu njombe,Ngende Lindi,chini ya bahari,ziwa Tanganyika,lake Victoria,mlima Kilimanjaro nk.
Kuzimu kubwa IPO nje ya Duniani ni kubwa kuliko Dunia
 
UFO ni viumbe toka sayari nyingine nje ya dunia NASA wameshindwa bado wanatafiti thus wakawapa jina la UFO yaan undefined flying object kwa maendeleo ya technology ya UFO hakuna chombo chochote cha mwanadamu kinawesogelea UFO vinayeyuka
UFO ni viumbe.....

Kwahyo ukiskia UFO unaelewa kuwa ni viumbe!?

Meditation zipo za aina nyingi inategemea unamediteti kuhusu nini.

Jaribu elimu ya uchawi uone yasiyoonekana
Wapo microorganisms kama Bacteria na viruses wasioonekana,
Lakini hawaonekani kwasababu ya upeo wa macho.
Zipo njia mbadala za kufanya waonekane.

Kwenye meditation sikuona.

Unauhakika kuwa elimu ya uchawi unaousema wewe itanifanya kuona yasiyoonekana?

Hujanielezea wewe umejaribu elimu ipi kujua hayo ikiwemo ile sayari iliyoko mbele ya dunia miaka 3000.
 
Back
Top Bottom