Makananli Wamestuka Ghafla!!!!

Makananli Wamestuka Ghafla!!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Ujuzi hauzeeki? KINANA avec KIKWETE

7.jpg
 
Wana cheo kingine siku hizi kinahusisha jina tembo
 
Niliwahi kuelezwa na afisa mmoja wa jeshi kuwa hii heshima ya Salute haitakiwi kutolewa na mtu asiyekuwa askari wa jeshi fulani.Alifanya hivi baada ya kuwakamata jamaa fulani wawili wakisalimiana kwa kupigiana salute na kuwataka wajitambulishe kwa kuonyesha vitambulisho kuwa wao ni askari wa jeshi gani? maana walikuwa kiraia.Sasa sijui hawa niliowaona jana wakifanya gwaride na kutoa hizi salute ni askari wa jeshi gani hapa Tz?.
 
Back
Top Bottom