Makamu wa raisi wa android ajiuzulu

Makamu wa raisi wa android ajiuzulu

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja android wapata pigo jingine makamu wa raisi wa android bw hugo bara amejiuzulu na kujiunga na kampuni ya simu ya china itwayo xiaomi,,thamani a kampuni ya
xiaomi imeongezeka maradufu kutoka us $4 billion mwaka jana mpk us $10 billion,mwisho wa mwezi uliopita
mwajiri mpya wa bw bara anasifika kwa kazi nzuri anayoifanya na ushawishi mkubwa aliokuwa nao na wengine humfananisha na steve jobs
tetesi za bw bara kuachana na adroid zilianza kutokea baada ya kuachana na mpenzi wake ambae alikuwa mfanye kazi mwenzake ambae ameingia kwenye mahusiano na mmoja wa waanzilishi wa android Sergey Brin,

je tutarajie nini katika hiki je android watatetereka katika ugunduzi ama??? na kipi bwana bara atakachokuja nacho kipya katika xiaomi??? tusubiri

source:Google loses Android VP to Chinese firm | Internet & Media - CNET News
 
Wanawake Kila Sehemu Wanatia Doa!!! Ila hawawez tetereka maana Hata hao Xiaomi Wanatumia androids os So bado Ni Yale yale.... Ila kama jamaa ameenda xiaomi napata picha kua Now Xiaomi Wataanza kuship Bidhaa zao World wide maana Xiaomi wamekuwa wanauza bidhaa zao ndani ya china tuu!! Piaa hii inaweza fumngua milango mingine kwa Xiaomi kuchukua os nyingine kama firefox os , ubuntu na hata Windows maana mapato yao yameongezeka!!

Binafs ningefurah kama wakitumia Sailfish ila sjajua hawa kina Jolla wanafikiria nn kuipa Shavu hii Os!!
 
binafsi nimetokea kupenda xiaomi phones kabla hata ya huyu jamaa kuhamia kule,walikuwa wamejikita zaidi kwenye market ya china,ila wakianza kuuza world wide na kuanza kuangalia mahitaji ya nchi nyingine na mimi nitakuwa miongoni mwa loyal customer as phones zao ziko cheap na zina quality!!!!
 
mkuu labda hao jolla wenye njaa ila kwa firefox (non-profit) na windows (waliojaa hela) sidhani kama wataweza zichukua

tetesi zilizopo kuna os ya kichina ya simu ambayo ipo chini ya htc itatoka soon ngoja tusubiri tuone itashindana vp
 
Mm ambacho kinanifanya niipende jolla ni androids apps kuwa installed mule tuu!!!!
 
binafsi nimetokea kupenda xiaomi phones kabla hata ya huyu jamaa kuhamia kule,walikuwa wamejikita zaidi kwenye market ya china,ila wakianza kuuza world wide na kuanza kuangalia mahitaji ya nchi nyingine na mimi nitakuwa miongoni mwa loyal customer as phones zao ziko cheap na zina quality!!!!

Hizi ndo zikija znaweza waumbua kina Tecno
 
kweli kabisa na kuna rekodi yao moja inanichosha sana waliuza simu mpya nakala laki 3 kwa dk 4 tu,amazing!!!

Yaap t was last year!! Na kwa specs walikua wamewazidi mpaka galaxy s3 ila price yao ikawa ndogo tuuuu!!!
 
mkuu labda hao jolla wenye njaa ila kwa firefox (non-profit) na windows (waliojaa hela) sidhani kama wataweza zichukua

tetesi zilizopo kuna os ya kichina ya simu ambayo ipo chini ya htc itatoka soon ngoja tusubiri tuone itashindana vp
dah bora wachina waje na kitu chao tuone watakuja na idea ipi tusahachoka na maidea ya kimarekani kila siku!!!
 
kuvuja kwa pakacha......................
Sie tuendelee kuinjoi tu bhana
 
Watacopy android si unajua wachina ndio zao

android yenyewe imejaa imejaa copy and paste kibao, na kama watatumia kernel ya linux tegemea muonekano tu kubadilika lakini itashare apps na android kama walivyofanya sailfish
 
mkuu unaweza kufunguka kidogo kuhusu sailfish???
 
hi ndo hio aliyoielezea nurbert os ya jolla. jolla ni kampuni na sailfish ndio os. historia yake inaanza long long time ago.

nokia walikua na os yao inaitwa maemo na kulikua na mobile linux zikaungana wakatoa os inaitwa meego,

meego ikaja ikafa wafanyakazi wa meego wakaacha kazi wakatoa os yao inaitwa sailfish hii ndo tunayoiongelea sasa.

sailfish kama android ni linux na hawa jamaa wamesema os yao itarun apps zote za android. os ipo mbion kumalizika na simu zimeanza kuuzwa kwa pre order euro 400.

itakua ni open source so utaiona sana, inasuport simu, tablets, tv na vikorokoro vyengine
 
nimekusoma mkuu,thanks!!!!
 
Nilidhani os ya Nokia ilikuwa ni Symbian
 
imeuliwa kabla haijatoka simu mbili tu zilitumia n9 na n950.

pia sasa hivi kuna asha os imetoka (mpya) so far ni simu moja inatumia asha 501 ila zitatoka nyingine soon.

os ya asha naiona ipo stable haina mbwemmbwe nyingi ila unapata many features as you want,sasa kilichobaki waweze kuingiza app ya instagram tu baasi,warawapata watz wengi zaidi kama sio waafrika wenye budget ya wastani
 
kuna instagraph 3rd party ya instagram
 
Back
Top Bottom