Makamu wa Raisi apitia kuwapooza maaskofu machungu ya madawa ya kulevya

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
machinjio2.jpg


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa (aliyevaa msalaba) wa Jimbo katoliki la Iringa alipokuwa ziarani mkoani humo.​
 
Huu nao ni uzinduzi

Bilari Makamu wa Rais busara ipo, huwezi kuona ana mkorogo wa matamshi yenye kutoa tafsiri ya kutatanisha kama Mkulu. Naona ameamua kujitahidi kusawazishwa mambo maana watu hawa ndio wenye kuwashika wapiga kura na ndio wenye kujenga na kuisafisha mioyo ya wananchi hata kiitikadi.
 
Back
Top Bottom