Makamu wa rais wa Zambia afariki dunia

Makamu wa rais wa Zambia afariki dunia

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,675
Reaction score
37,856
Aliekuwa makamu wa rais wa zambia kiPIndi cha rais rupia banda
george kunda amefariki dunia ..kunda alifariki jumatatu hospital ya lussaka
amabako alikuwa amelazwa kwa siku tatu.....kunda ambae ni mwanasheria aliteuliwa
2001 kama makamu wa raisi bada ya kumalizika uchaguzi mkuu

alikuwa na sifa ya kukosoa serikali iliopo madarakani na kusisitiz akuwajali wananchi
wakati wa kifo chake alikuwa mwanachama wa kuchaguliwa wa chama chake jimbo
la muchinga

kunda ameacha mke mmoja wa ndoa na watoto wa nne wa ndoa

bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
raha ya milele umpee ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani

amen
 
R.I. P haka ka mwezi sijui kana nini jamani , sijuii nani atafuatia
 
Paty!!!kwi kwi kwiii washindwe kabisa
 
Aliekuwa makamu wa rais wa zambia kiPIndi cha rais rupia banda
george kunda amefariki dunia ..kunda alifariki jumatatu hospital ya lussaka
amabako alikuwa amelazwa kwa siku tatu.....kunda ambae ni mwanasheria aliteuliwa
2001 kama makamu wa raisi bada ya kumalizika uchaguzi mkuu

alikuwa na sifa ya kukosoa serikali iliopo madarakani na kusisitiz akuwajali wananchi
wakati wa kifo chake alikuwa mwanachama wa kuchaguliwa wa chama chake jimbo
la muchinga

kunda ameacha mke mmoja wa ndoa na watoto wa nne wa ndoa

bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
raha ya milele umpee ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani

amen
Nadhani kuna masahihisho kidogo kama ndugu George Kunda alikua makamu wa kwanza wa Rupiah Banda basi sio kutokea 2001 ni kutokea 2008 mpaka 2011 maana ndo Rupiah Banda alikua prezida wa Zambia kabla ya kuondolewa na Cobra
 
Back
Top Bottom