Makamu wa Rais, linda ofisi yako. Wadau tunapata taabu kwa uzembe wa watendaji wako

Acha majungu na kuchafua watu wewe. Hii ni awamu ya kupiga kazi wewe unaleta majungu.
 
Sasa change gani zimetokea mpaka sasa kwa hiyo immediate reaction unayosema?

Hizi ni enzi za serikali isiyopangiwa.
Changes gani zimetokea kwa kurekodi watu na kupeleka mahakamani?
 
Acha majungu na kuchafua watu wewe. Hii ni awamu ya kupiga kazi wewe unaleta majungu.
Unamfahamu? Au mshirika?
Kuna enzi tuliambiwa ni wivu kumbe watu wanachota pesa kwenye viroba.
 
Changes gani zimetokea kwa kurekodi watu na kupeleka mahakamani?
Kama hazijatokea, hilo halimaanishi change zimetokea kwa kutorekodi.

Angalau ukirekodi unatoa utata kuhusu kilichotokea.

Hujataja changes zilizotokea.
 
vyeo kama hivi ukisema ukweli utaambiwa wivu wa kike,au majungu aliwahi kuwapo mzee mmoja wizara ya afya alikuwa anashughulikia funds za masoma ,mkerewe mmoja hivi likuwa balaaaaaaa
 
Kuna mtu kanionya uwezo wa Al-Watan, Nimesema leo nafundisha kindergarten.
Wewe mwenyewe unahitaji kurudi kujifunza huko unakosema unafundisha.

Do not flatter yourself, it shows your obtuse thinking.
 
Back
Top Bottom