GBBali
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 1,931
- 537
Wanaposema hapa kazi tu, ni kelele tu.Huenda mpango hawajauandaa
Wanaposema hapa kazi tu, ni kelele tu.Huenda mpango hawajauandaa
Wote lugha ya kingeleza imewapiga chenga ndo maana magu na samia wanaogopa kwenda nje, si munaona hata huyu W amevaa king'amuzi masikioni.
Nimeshangaa sana jana,wanasema Mpango kumbe mapendekezo ya mpango,na wabunge wengi wavivu wa kusoma wangeujadili kwa.matus na vijembe kumbe wanajadili MAPENDEKEZO NA SIO.MPANGOWanaposema hapa kazi tu, ni kelele tu.
Ile kutamka tu neno fisadi imekua ishu.mmebaki kudandia hoja za zanzibar na jana dr.mpangoHujui majipu yanatumbuliwa CCM hoja ya mafisadi iko palepale.
Waliaanza na english kupata utaalamu kwenye mataifa ya watu hata leo wakienda kupata utaalamu kwenye mataifa ya watu wanatumia english ila wakifanikiwa wanatumia lugha hayo kuendeleza utaalamu huo sisi kwetu tukipata utaalamu tunaenda bungeni wengine wana kua wakurugenzi wanakufa na utaalamu wao bila kumrithisha mtz mwenzie ndo mana atuendeleiHivi mbona watu kujua kiingereza wanaona ni jambo kubwa kuliko hata taaluma? Hao Wachina ambao leo mnaona wanatujengea magorofa hawajui kiingereza hata chembe lkn walifika hapo walipo kwa kuzingatia kujifunza utaalamu na si lugha. Kuna watu tunawakosoa viongozi wetu eti hawajui lugha fulani ili hali sisi wenyewe hata ile robo ya taaluma na elimu zao hatutozifikia hata tukiishi miaka mia.
Naona undai chapati ila huitaki ngano.Hayo makaratasi tu mkuu, siye wananchi tunataka kuona vitu site
Anyway, I know kuna posho ya kujadili hizo dubwasha la nadharia ndo maana limeshikiwa bango
Kama majipu yanayotumbuliwa ni CDM kweli tumekuwa mafisadi CCM chaka la mafisadi Chenge, Kinana.Ile kutamka tu neno fisadi imekua ishu.mmebaki kudandia hoja za zanzibar na jana dr.mpango
Kingereza cha nn kule? wakati mitambo ya kutafsili lugha ipoHuyu Samia anajua Kiingereza kweli?
Sasa mbona Magufuli anaogopa?Kingereza cha nn kule? wakati mitambo ya kutafsili lugha ipo
Lukuvi ana cheti cha kutengeneza sambusa hana degreeHivi kweli inawezekana watu na degree zao wasijue kiingereza Tanzania? Kuwa waziri si ni lazima uwe na degree?
afadhali umewambia maana wabongo wanaona kingreza dili saaana kukijua ee! Emu wawaulize waarabu kama wanakijuaHivi mbona watu kujua kiingereza wanaona ni jambo kubwa kuliko hata taaluma? Hao Wachina ambao leo mnaona wanatujengea magorofa hawajui kiingereza hata chembe lkn walifika hapo walipo kwa kuzingatia kujifunza utaalamu na si lugha. Kuna watu tunawakosoa viongozi wetu eti hawajui lugha fulani ili hali sisi wenyewe hata ile robo ya taaluma na elimu zao hatutozifikia hata tukiishi miaka mia.
Mi ninachokifahamu juu ya China ni kwamba waliwasomesha watu wao kwenye mataifa mbalimbali na waliporudi kwao hao wataalamu waliambiwa waandike vitabu vya kufundishia katika lugha ya Kichina. Me ninachokosoa ni jinsi watu wanavyokomaa kusema Rais hajui Kiingereza. Upo right kweli wataalamu wetu wanakimbilia siasa na hiyo inatokana na ukweli hapa Tz siasa ndo inatajirisha haraka na kulikuwa hakuna msukosuko. Ila kwa Tanzania hii inayoanza kuonekana wataanza kuigopa siasa.Waliaanza na english kupata utaalamu kwenye mataifa ya watu hata leo wakienda kupata utaalamu kwenye mataifa ya watu wanatumia english ila wakifanikiwa wanatumia lugha hayo kuendeleza utaalamu huo sisi kwetu tukipata utaalamu tunaenda bungeni wengine wana kua wakurugenzi wanakufa na utaalamu wao bila kumrithisha mtz mwenzie ndo mana atuendelei
Wewe ndio unasema kuwa anaogopa, au alishawahi kukwambia kuwa anaogopa???Sasa mbona Magufuli anaogopa?
NDIYOWewe ndio unasema kuwa anaogopa, au alishawahi kukwambia kuwa anaogopa???
Me nashangaa! mbona watu hatuchekani humu kwa kutojua Kifaransa, Kireno na lugha zingine kubwa duniani? Jamani tuondoke kwenye kutawaliwa kifikra. Hivi ni nani asiyeumia kuona dada yake anahangaika kuukana uafrika wake kwa kuweka nywele za bandia na kubleach ngozi? Tuwe huru jamani tumetawaliwa muda mrefu sana.afadhali umewambia maana wabongo wanaona kingreza dili saaana kukijua ee! Emu wawaulize waarabu kama wanakijua
No, mi si mtu wa theories mkuu, i need to see things happening on the ground. Hayo ma-documents mnayodai yako mengi sana maofisini lakini hakuna kinachofanyika site.Naona undai chapati ila huitaki ngano.
Ko kumbe hata nepi ana degree cyo!!!Hivi kweli inawezekana watu na degree zao wasijue kiingereza Tanzania? Kuwa waziri si ni lazima uwe na degree?
Mkiwa na Rais anayesafiri sana mtamnanga hadi kumuita vascodagama...Hivi hamna tatizo kweli? Nadhani hii ni moja ya kazi yake, kuwakilishwa ikiwa kweli ibabidi. Huyu mkuu wetu wa nchi anawalakini.