Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
Leteni mpango wa maendeleo wa miaka 5, acheni porojo.
Haya ndo mambo ya msingi, siyo matusi kama ya mototchini
Leteni mpango wa maendeleo wa miaka 5, acheni porojo.
Yan utadhani wanaoga nje bana!!!!!!Mbona mnajihofia.....
Hivi kweli inawezekana watu na degree zao wasijue kiingereza Tanzania? Kuwa waziri si ni lazima uwe na degree?Huyu Samia anajua Kiingereza kweli?
Nadhani umeone kilichomasikioni.Huyu Samia anajua Kiingereza kweli?
Wakati Raisi Magufuli akiendelea kupiga kazi hata weekend, makamu wetu wa Raisi Bi. Suluhu ametua nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa nchi huru za Afrika, anamwaklisha Raisi!
HAPA KAZI TU!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HAPA KAZI TU!
Kwani hujaona kilicho masikioni mwake ni nini??? au unadhani anaskiliza bongfleva!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1Hivi kweli inawezekana watu na degree zao wasijue kiingereza Tanzania? Kuwa waziri si ni lazima uwe na degree?
Wote lugha ya kingeleza imewapiga chenga ndo maana magu na samia wanaogopa kwenda nje, si munaona hata huyu mama amevaa king'amuzi masikioni.Safi kwani kuna shida gani VP akimwakilisha Mkuu,
Kazi kweli kweli. Mama hakuwa hta na muda wa kubadilisha vazi!Safi kwani kuna shida gani VP akimwakilisha Mkuu,
Kuna watafsiri.Huyu Samia anajua Kiingereza kweli?
Zinatumika lugha ngapi hapo Addis? Na mwongeaji alikuwa anatumia lugha gani?Wote lugha ya kingeleza imewapiga chenga ndo maana magu na samia wanaogopa kwenda nje, si munaona hata huyu mama amevaa king'amuzi masikioni.
Huyu Samia anajua Kiingereza kweli?
Nyumbu ni babako na mamako walo kuzaa we punda sitaki kusikia u aita binadamu wenzio nyumbu. Hata kama wana mawazo na mtizamo tofauti. Na walioshindwa kuleta mpango wa maendeleo wa miaka 5 tuwaiteje. Usiwe mjinga.Hakuna tatizo
Lakini Wapo Nyumbu ndio hawakosi lakusema
Mkuu hata mimi nlivyoona huu Uzi nlitaka kuulizaHuyu Samia anajua Kiingereza kweli?
Hivi mbona watu kujua kiingereza wanaona ni jambo kubwa kuliko hata taaluma? Hao Wachina ambao leo mnaona wanatujengea magorofa hawajui kiingereza hata chembe lkn walifika hapo walipo kwa kuzingatia kujifunza utaalamu na si lugha. Kuna watu tunawakosoa viongozi wetu eti hawajui lugha fulani ili hali sisi wenyewe hata ile robo ya taaluma na elimu zao hatutozifikia hata tukiishi miaka mia.Hivi kweli inawezekana watu na degree zao wasijue kiingereza Tanzania? Kuwa waziri si ni lazima uwe na degree?
Elimu za kuungaunga!!Hivi mbona watu kujua kiingereza wanaona ni jambo kubwa kuliko hata taaluma? Hao Wachina ambao leo mnaona wanatujengea magorofa hawajui kiingereza hata chembe lkn walifika hapo walipo kwa kuzingatia kujifunza utaalamu na si lugha. Kuna watu tunawakosoa viongozi wetu eti hawajui lugha fulani ili hali sisi wenyewe hata ile robo ya taaluma na elimu zao hatutozifikia hata tukiishi miaka mia.