Unashindwa kuleta mpango wa maendeleo wa miaka 5.Wakati Raisi Magufuli akiendelea kupiga kazi hata weekend, makamu wetu wa Raisi Bi. Suluhu ametua nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa nchi huru za Afrika, anamwaklisha Raisi!
HAPA KAZI TU!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HAPA KAZI TU!
Hawana namnaMagufuli utampenda tu hata kama kwa shingo upande.
TuliaUnashindwa kuleta mpango wa maendeleo wa miaka 5.
Tz pride walakini gani unaomaanisha mkuu wangu sidhani kama ni kosa Rais akiwakilishwaHivi hamna tatizo kweli? Nadhani hii ni moja ya kazi yake, kuwakilishwa ikiwa kweli ibabidi. Huyu mkuu wetu wa nchi anawalakini.
vipi walivyogusia burundi mh makamu wa rais amedhubutu kudhunguza kweli?Wakati Raisi Magufuli akiendelea kupiga kazi hata weekend, makamu wetu wa Raisi Bi. Suluhu ametua nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa nchi huru za Afrika, anamwaklisha Raisi!
HAPA KAZI TU!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HAPA KAZI TU!
jifunze Kiswahili. Hujachelewavipi walivyogusia burundi mh makamu wa rais amedhubutu kudhunguza kweli?
Leteni mpango wa maendeleo wa miaka 5, acheni porojo.Hakuna tatizo
Lakini Wapo Nyumbu ndio hawakosi lakusema
Hakuna tatizo
Lakini Wapo Nyumbu ndio hawakosi lakusema