Makamu Mwenyekiti BAVICHA akamatwa na jeshi la Polisi kwa kutoa kauli za kichochezi

Ni uonevu tu unaofanywa na huyu dikteta kupitia mgongo wa polisiccm wa kuwaweka Watanzania roho juu wa kushindwa kukemea maovu na utendaji mbovu ndani ya Serikali hii na Serikali zilizopita.
Sasa ulitaka mtu mchochezi aachwe?
 
Hiyo speech yake inapatikana wapi? ili tutafakarina kupima hayo aliyo yasema. Hivi wachangiaji wote kwenye uzi huu wanajua amesema nini au ni kila mtu na upande wake? Bi. Mkubwa anasema tunahojoroka tu.
 
Walimshindwa alipokuwa huko alikotenda hilo kosa? Au wamehisi tu? Nchi ya vituko hii.
 
Bahati mbaya au nzuri mahakama za Tanzania haziko speed sawa na ya jeshi la polisi. Kesi nyingi uzito wake unaishia polisi zikienda mahakamani zinakua hazina impact.
 

Acha kutudanganya kuwa wew ni mpinzani. Mpinzani wa nchi gan wew.? Au uganda
 
Huu upuuzi wa lumumba na genge lao la hao form four failure utafikia ukomo soon.....
 
mpinzani wewe?
 
hujui ukiandikacho wala hujui tukio lilivyo....! wrong thought here na sio mahara pake...ishu ni kukamatwa kwa sosopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…