Bashungwa, Simbachawene na sasa Nchimbi ni Wakatoliki walioondolewa madarakani katika hali inayotatanisha. Huenda kuna agenda fulani awamu hiiMadaraka makubwa zaidi ya juu Tanzania katika vyeo viwili yamekuwa yakipokezanwa kati ya Uislamu na Ukatoliki, ni wakati sasa wa kuvunja utaratibu huo makamu wa Rais atoke angalau kutoka kwa Wasabato, Walokole au Anglicana.
Muhimili wa Mahakana umeshikwa na wasabato.Walutheri wamekuwa wanatawala nafasi ya waziri mkuu. Mwigulu, Lowassa.
π π au sioNadhani ni zamu yenu Atheists kushika hiyo nafasi sasa.
π π au sio
Twin mambo yatakua fastest yaani shwaaaaYes Twin, imagine itakuwa hakuna cha kusubiri kufungua vikao kwa maombi wala kusubiri viongozi wa dini watoe baraka π π .
Vya Mungu mpe Mungu na vya wanasiasa wape wanasiasaMadaraka makubwa zaidi ya juu Tanzania katika vyeo viwili vya juu kabisa vya nchi yamekuwa yakikaliwa na yakipokezanwa kati ya Uislamu na Ukatoliki tu, ni wakati sasa wa kuvunja utaratibu huo makamu wa Rais atoke angalau kutoka kwa Wasabato, Walokole au Anglicana.