Makampuni ya ulinzi

Makampuni ya ulinzi

Nimekupata mkuu asante sana hapo naanza na cheti cha form four na six tu basiii kama ipo ipo tu hakuna haja ya kuwa mwoga
Wewe weka tu vyeti vyote unaweza ukapewa hata u supervisor..
 
Wewe weka tu vyeti vyote unaweza ukapewa hata u supervisor..
Acha kuota mchana

Vyeti haviwez kumpa u supervisor

Kupewa kitengo ni uwezo, ubunifu, na uwajibikaji katika kazi, hasa hiz za ulizi

So vyet havisaidii


Labda huko serikalin
 
G4s wanavitu vingi mpaka uwe na wadhamini wawili na wawe wanasheria viongozi was dini au mjumbe na vyeti ukaige mhuri wa mahakama nafasi zipo mshahara laki2 nilienda hivi karibuni Ila nataka niende garda
Nashukuru kwa taarifa hii mkuu
 
Back
Top Bottom